Na.Khadija Seif, Michuzi TV
STAR wa Muziki kutoka nchini Marekani Rick Ross hatimae akutana na Msanii wa bongofleva Hamisa Mobetto Dubai wakiwa kwenye penzi zito Huku wakijipoza na kinywaji cha Belaire.

Hapo awali Mwanadada huyo ilizuka minong'ono huwenda wakawa wanatoka kimapenzi lakini baada ya Hamisa Mobetto kusambaza video pamoja na picha wakiwa wote amefunga mijadala Kwa mashibiki zake na kuthibitisha kuwa Wana Mahusiano ya Kimapenzi.

Rick Ross ambae pia ni Mmoja ya Mabalozi wa kinywaji kimataifa cha Belaire ametumia fursa hiyo kukitangaza kinywaji hicho akiwa katika falme za kiarabu.

Matarajio mengi kwa Mashibiki wa Mastar hao wawili kufanya kazi pamoja na baadhi ya maoni ni kutarajia kazi kutoka Kwa wawili hao mbali na Mahusiano yao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...