Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani Juma Ndaruke, akionesha fomu ya kuomba kuteuliwa nafasi ya mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kibiti. Ndaruke amechukua fomu hiyo leo Jumamosi 9 Julai 2022 na kisha kuirudisha baada ya kuijaza kulingana na taratibu za chama huku uchaguzi huo ukitarajiwa kufanyika mwezi wa kumi mwaka huu.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani Juma Ndaruke, akikagua kwa umakini fomu za kuomba kuteuliwa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo. Ndaruke amechukua fomu hiyo leo Jumamosi 9 Julai 2022 na kisha kuirudisha baada ya kuijaza kulingana na taratibu za chama huku uchanguzi huo ukitarajiwa kufanyika mwezi wa kumi mwaka huu. Anayeangalia ni Katibu wa CCM wa wilaya hiyo Mwidini Yayaha Zakaria.
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani Juma Ndaruke
(kushoto), akikabidhiwa fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM
wa wilaya hiyo kwenye uchaguzi wa ndani wa CCM Wilaya ya Kibiti kutoka
kwa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo Mwidini Yayaha Zakaria (kulia). Ndaruke
amechukua fomu hiyo leo Jumamosi 9 Julai 2022 na kisha kuirudisha baada
ya kuijaza kulingana na taratibu za chama huku uchaguzi huo ukitarajiwa
kufanyika mwezi wa kumi mwaka huu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...