Mkuu wa kitengo cha mawasiliano cha Vodacom Group, Mwamvita Makamba akizungumza kwenye kongamano la pili la Mkapa Legacy 2022 linalofanyika visiwani Zanzibar, wakati wa mada ya Mageuzi ya kimkakati ya Afya nchini kupitia muungano wa biashara ya afya ( Accelerating strategic health transformation in Tanzania through business coalition for health) ambapo Vodacom Tanzania Foundation wanatoa huduma ya afya kupitia program za m-mama, fistula inatibika, wazazi nipendeni, washable sanitary pads pia wamedhamini kongamano hilo. Kulia ni Sarah Maongezi kutoka Taasisi ya Agakhan health services na muongoza mjadala Dkt. Faustine Ndugulile
Mama Anna Mkapa akiwa na mama Shadya Karume wakifuatilia mijadala mbalimbali iliyokuwa inaendelea kwenye kongamano la pili la Mkapa Legacy 2022
Makamu wa kwanza wa Rais Serikali ya mapinduzi Zanzibar, Othman Masoud akizungumza kwenye kongamano la pili la Benjamin Mkapa Foundation ( Mkapa Legacy 2022) liliofanyika kisiwani Zanzibar

Waziri wa Afya , Ummy Mwalimu akizungumza kwenye kongamano la pili la Mkapa Legacy 2022 liliofanyika kisiwani Zanzibar

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benjamin Mkapa Foundation, Dkt. Ellen Senkoro akizungumza kwenye kongamano la pili la Mkapa Legacy 2022



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...