Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Brazil Mhe.Antonio Cesare, akiungana na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiongozwa na Mhe.Balozi Sandro de Oliveira (wa tatu kulia) kutoka Nchini Angola.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo, wakiongozwa na Mhe.Balozi Sandro de Oliveira (katikati) kutoka Nchini Angola.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kireno (CPLP) baada ya mazungumzo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo, Mhe.Balozi Sandro de Oliveira(wa tatu kushoto) kutoka Nchini Angola (kushoto) Balozi Mdogo wa Mozambiq anayefanyia Kazi Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta,Balozi wa Brazil Mhe.Antonio Cesare (wa pili kulia) na Balozi wa Heshima wa Brazil hapa Zanzibar Abdulsamad Abdulrahim[Picha na Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...