
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano pamoja na viongozi wengine wa nchi mbalimbali Barani Afrika mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa (IDA 20 Summit for Afrika) uliofanyika kwenye ukumbi wa King Fahd Palace Dakar nchini Senegal tarehe 07 Julai, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wakuu wa nchi mbalimbali wa Afrika katika Mkutano wa faragha wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa (IDA 20 Summit for Afrika) uliofanyika kwenye ukumbi wa King Fahd Palace Dakar nchini Senegal tarehe 07 Julai, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine Wakuu wa nchi mbalimbali Barani Afrika mara baada ya Mkutano wa Wakuu hao wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa (IDA 20 Summit for Afrika) uliofanyika kwenye ukumbi wa King Fahd Palace Dakar nchini Senegal tarehe 07 Julai, 2022
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...