Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kutmbelea Miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo, majumuisho yaliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri Wilaya ya Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu)
Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mkoa huo, uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu)
Viongozi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake kjatika Mkoa wa Kaskazini Pemba, uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba, baada ya kumaliza ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu)
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake kjatika Mkoa wa Kaskazini Pemba, uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba, baada ya kumaliza ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu)
Baadhi ya Mawaziri wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake kjatika Mkoa wa Kaskazini Pemba, uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba, baada ya kumaliza ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu)



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...