MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) yakutana na wadau wa Vifaa Tiba na vitendanishi tiba leo katika Ofisi Ndogo ya Makoo Mkuu jijini Dar es Salaam lengo ni kuwaajengea uwezo wa matakwa ya kisheria ya kuzibiti ubora na kuwasililiza changambo wanazo kuwanazo waingizaji na wasambazi wa vifaatiba na gesi si tiba Katika kusajili nakuingiza na kusambaza ilikulinda afya ya jamii.
Kaimu Mkurungezi wa Vifaa tiba na Vitendanishi wa (TMDA)Kisa Mwamwitwa (kulia) akiwasilisha mada kuhusu kisheria ya kuzibiti ubora wa vifaatiba na Gesi tiba leo katika Ofisi Ndogo ya Makoo Mkuu jijini Dar es Salaam.
Kaimu Meneja wa Vifaa tib na Vitendajishi akiwasilisha mada kuhusu Vifaatiba na Vitendanishi Katika mkutano wa wadau uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Ukaguzi Vifaa tiba na Gesi tiba wa (TMDA) Bw. Bryceson Kibasa akiwasilisha mada kuhusu matakwa ya sheria kabla na baada ya kuwepo kwenye soko vifaa hivyo leo katika Ofisi Ndogo ya Makoo Mkuu ya (TMDA) jijini Dar es Salaam.


Sehemu ya wadau wa Vifaa Tiba na vitendanishi tiba.





Watumishi wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Vifaa Tiba na vitendanishi tiba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...