Waziri wa Nishati, January Makamba, akiangalia gari linalotumia gesi asilia inayopatikana hapa nchini, ameangalia gari hilo mara baada ya kutembelea katika banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) wakati wa maonesho ya Kimataifa ya Kibiashara ya 46 yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya J.K.Nyerere maalufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam Julai 6, 2022.
Waziri wa Nishati, January Makamba akiangalia mitambo ya Mradi wa kusindika gesi asilia na kuwa kimiminika (LNG) katika banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) wakati wa maonesho ya Kimataifa ya Kibiashara ya 46 yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya J.K.Nyerere maalufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam Julai 6, 2022.
Waziri wa Nishati, January Makamba akizungumza katika banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) wakati wa maonesho ya Kimataifa ya Kibiashara ya 46 yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya J.K.Nyerere maalufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam Julai 6, 2022.
Waziri wa Nishati, January Makamba akiangalia moja ya picha za Mradi wa kusindika gesi asilia na kuwa kimiminika (LNG) katika banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) wakati wa maonesho ya Kimataifa ya Kibiashara ya 46 yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya J.K.Nyerere maalufu kama Sabasaba jijini Dar es Salaam Julai 6, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...