Mshindi wa gari la nne kupitia shindano la Vodacom Tusua mapene, Editha John mkazi wa mufindi-Iringa akifungua mlango wa gari lake jipya aina ya Suzuki S Presso alilojishindia katika shindano la Tusua Mapene baada ya droo iliyochezeshwa kwenye maonesho ya Nanenane jijini Mbeya na hafla ya makabidhiano kufanyika viwanja vya stendi ya zamani Iringa mjini. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iringa, Mohamed Moyo aliyemwakilisha mkuu wa mkoa huo na Mkuu wa mauzo Vodacom Kanda ya Nyanda za juu kusini, Ezekiel Nungwi.Ili kujishindia zawadi katika shindano hilo tuma neno V kwenda 15544.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...