Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Hashil Twaib Abdallah kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2022. Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Kaspar Mmuya akila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Twaib, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kaspar Mmuya kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Makatibu Wakuu, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Kaspar Mmuya pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Twaib, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2022. Wengine katika picha ni, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Hussein Kattanga, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Eng. Hamad Masauni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...