Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Brig. Jen Mstaafu Aloyce Mwanjile alipohani msiba wa Marehemu Faithnancy Aloyce Mwanjile ambaye ni mtoto wa  Brig. Jen Mstaafu Mwanjile, Bunju mkoani Dar es salaam, Aprili 08,2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji Anna Bethuweli Mushi (kushoto) ambaye ni Mama wa Marehemu Faithnancy Aloyce Mwanjile alipohani msiba huo nyumbani kwa Brig. Jen Mstaafu Aloyce Mwanjile, Bunju mkoani Dar es salaam, Aprili 08,2023. Katikati ni Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa  Faithnancy Aloyce Mwanjile ambaye  ni Mtoto wa Brig. Jen Mstaafu Aloyce Mwanjile, Bunju mkoani Dar es salaam, Aprili 08,2023. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...