Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Shamim Mdee(wa kwanza kulia) akitoa elimu kwa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) David Kafulila ( wa kwanza kushoto) kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) David Kafulila akizungumza jambo mara baada ya kupata elimu kutoka kwa maafisa wa Bodi ya PSPTB ikiongozwa na Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Shamim Mdee kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) David Kafulila akikabidhiwa zawadi na Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Shamim Mdee kwa niaba ya Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Afisa Elimu Mkuu- Mitaala (PSPTB), Jeremiah J. Haule(wa pili kulia) akitoa elimu kuhusu namna mtu anavyoweza kufanya mitihani ya Bodi kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Afisa TEHAMA kutoka PSPTB Boniface Mushi(kushoto) akitoa maelezo kuhusu namna wanafunzi wanavyoweza kujisajili kwenye Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Shamim Mdee(wa kwanza kulia) akitoa elimu kuhusu Bodi hiyo ilivyojikita katika kusimamia taaluma ya Ununuzi na Ugavi kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Afisa kutoka PSPTB, Vincent Mwaimu(kulia) akitoa elimu kwa wananchi walipotembelea Banda la Bodi na kusaini kitabu cha wageni katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) lililopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Huduma zikiendelea kwenye Banda la PSPTB 


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...