
Kutoka kushoto Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Angela Kairuki, akikabidhi Ngao ya Ushindi wa Kwanza kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakari Kunenge (katikati pichani) leo Agosti 29, 2023 kwa Mkoa wa Pwani kuibuka mshindi katika utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa mwaka 2022/23 anayefuata ni Katibu Tawala Mkoa huo na Skauti Mkuu wa Tanzania Rashid Mchata.
Matukio mbalimbali katika picha ya kufurahia mafanikio ya ushindi wa nafasi ya kwanza katika utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa mwaka 2022/23 Shughuli zote hizo zinafanyika leo Agosti 29 ,2023 Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...