Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Ijumaa Msikiti wa Miembeni, Mkoa wa Mjini Magharibi. Rais Dk. Mwinyi baada ya sala ya Ijumaa amewatembelea Wazee  na kuwajulia hali wakiwemo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mkoa wa Mjini Boraafya Silima  nyumbani kwake Mwembeshauri, Kombo Mzee Kombo nyumbani kwake Miembeni Jitini pamoja na Haji Ramadhan Suwedi Mwandishi mwandamizi mstaafu wa ZBC na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Zanzibar aliyelazwa Hospitali ya Mnazi Mmoja, Mkoa wa Mjini Magharibi.




 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...