Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara akizungumza jambo kwenye Banda la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) alipoambatana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi walipotembelea Banda la NIT kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara pamoja Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi wakipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) Dkt. Zainabu Mshana kuhusu chuo hicho walipotembelea Banda la NIT kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi akisaini kitabu katika Banda la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) alipotembelea Banda la NIT kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) Dkt. Zainabu Mshana
Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi wakiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...