KAMPUNI ya Meridianbet imefanikiwa kupeleka tabasamu Kigamboni eneo linalofahamika kama mji mwema, Kwani wataalamu hao wa michezo ya kubashiri wamefika kwenye Zahanati inayopatikana eneo hilo na kutoa msaada kwenye siku ya kina Mama duniani.

Katika kuhakikisha wanaonesha kuuthamini mchango wa mwanamke katika jamii walifika katika Zahanati hiyo na kutoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo chakula, Msaada huo ulijumuisha vitu kama mafuta, sukari, mchele, unga, lakini pia bila kusahau sabuni na khanga.

Kampuni hiyo imekua ikihakikisha wanakwenda kusaidia watu ambao wana uhitaji mkubwa katika jamii yao, Huku ikiwa ndio sababu ya wao kufika katika Zahanati hiyo inayopatikana mji mwema Kigamboni na kutoa msaada katika siku ya kina Mama.

Muwakilishi wa kampuni ya Meridianbet katika tukio hilo bwana Abubakar Kulindwa alipata nafasi ya kuzungumza na kusema “Sisi kama taasisi tumekua tukiguswa mara nyingi na changamoto ambazo zimekua zikiikabili jamii yetu inayotuzunguka na ndio sababu kubwa ya sisi kupata msukumo wa kufika hapa leo na kutoa msaada huu haswa katika siku kubwa kabisa ya kina Mama duniani”

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali ya itakayopigwa katika ligi mbalimbali barani ulaya leo Jumapili. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Haikuishia hapo kwani kwani muwakilishi wa Zahanati hiyo alipata nafasi ya kuweza kuzungumza machache na zadi ilikua ni shukrani ambayo aliitoa kwa taasisi hiyo kwakua na moyo wa kurudisha kwenye jamii yake mara kwa mara kwani sio taasisi zote zinakumbuka matatizo yanayoikumba jamii yao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...