Mkurugenzi mtendaji wa Maajabu 18 sheik Mussa Athmani amewaasa watanzania kuacha kuamini mambo ya uongo yanayoibuliwa na watu na kuzua taharuki hasa baada wa msichana kujitokeza mitandani na kuaminisha watu kuwa ana mahusiano na nyoka na kujipatia pesa kupitia Joka hilo.

Ameyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari na kutolea ufafanuzi juu yabdawa ambazo zitaenda kusaidia wagonjwa wenye magonjwa yasiyoambukiza kama vile sukari, saratani na shinikizo la damu.

Sheikh Mussa alisema kuwa matibabu ya dawa hoyo si ya kienyeji bali yanatibu kwa kutumia jina la mwenyezi Mungu hivyo mtu yoyote kwa imani  yoyote anaweza kutibiwa kwa dawa hizo.

Aidha aliongeza kuwa dawa hiyo inatibu kwa mida mfupi yaani hapo hapo hivyo mgonjwa anaweza kutumia na kulipia pale atakapopona kwasababu ni tiba ya kweli.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...