Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Shilla ambapo Rais Mhe. Yoon aliwaandalia Viongozi Wakuu Wanaoshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Korea na Afrika Dhifa ya Chakula cha jioni tarehe 03 Juni, 2024.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) ambapo alitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima kwenye Sekta ya Anga (Honoris Causa) Jijini Seoul tarehe 03 June, 2024.Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Profesa Hee Young Hurr akiwa pamoja na baadhi ya Viongozi wa Chuo hicho wakipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia Chuoni hapo Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni, 2024

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mfanyakazi wa Ndege kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Sang bin Jeon aliyekuwa akielezea kuhusu sehemu mbalimbali za Ndege aina ya Airbus A300-600R ambayo ipo kwa ajili ya Maonesho na mafunzo kwa Wanafunzi katika Chuo hicho Jijini Seoul tarehe 03 Juni, 2024

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wageni mbalimbali, Wahadhiri pamoja na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) mara baada ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima kwenye Sekta ya Anga (Honoris Causa) na Chuo hicho Jijini Seoul Jamhuri ya Korea tarehe 03 Jun1, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mfanyakazi wa Ndege kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Sang bin Jeon wa pili kutoka (kushoto) aliyekuwa akielezea kuhusu sehemu mbalimbali za Ndege aina ya Airbus A300-600R ambayo ipo kwa ajili ya Maonesho na mafunzo kwa Wanafunzi katika Chuo hicho Jijini Seoul tarehe 03 Juni, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia sehemu mbalimbali za Ndege aina ya Airbus A300-600R ambayo ipo katika Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) kwa ajili ya Maonesho na mafunzo kwa Wanafunzi, Seoul tarehe 03 Juni, 2024.

Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) pamoja na Wageni mbalimbali wakipiga makofi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kutunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima kwenye Sekta ya Anga (Honoris Causa) na Chuo hicho Jijini Seoul Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wageni mbalimbali, Wahadhiri pamoja na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) mara baada ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima kwenye Sekta ya Anga (Honoris Causa) na Chuo hicho Jijini Seoul Jamhuri ya Korea tarehe 03 Jun1, 2024Matukio mbalimbali wakati wa hafla ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima kwenye Sekta ya Anga (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Jijini Seoul Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni1, 2024

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...