Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia Wananchi katika uwanja wa CCM mjini Ngudu Wilayani Kwimba, alipopita kuwasalimia wakati akianza rasmi kampeni leo Agosti 29, 2025 jijini Mwanza. Pamoja na kuwahutubia wananchi pia alimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Kwimba ndugu Bulala Mutesigwa Cosmas Bmna wa Jimbo la Sumve Bujagq Charles Mossea pamoja na madiwani wa chama hicho.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...