Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg Rabia Abdalla Hamid katika muendelezo wa Kusikiliza makundi mbalimbali ya kijamii, leo tarehe 11/07/2026 amesikiliza makundi ya kijamii 52 ndani ya Mkoa wa Songwe.
Aidha, Ndg Rabia Abdalla Hamid amesema kuwa ameridhishwa na utendaji kazi wa viongozi wa Serikali ndani ya Mkoa wa Songwe baada ya wananchi katika makundi mbalimbali ya kijamii, makundi 52 kuuliza maswali, ushauri, maoni, changamoto, kero na baadae kujibiwa kwa usahihi na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe Jabir Makame aliyeambatana na Viongozi mbalimbali wa Serikali kwa ajili ya kujibu hoja za wananchi.
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#CCMKimbilioLaWananchi
#CCMTabasamuLaWatanzania

.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...