muhidin maalim gurumo (kushoto) na saidi mabera ni wakongwe wa muda mrefu waliosalia katika bendi ya Msondo Ngoma Music Band ambayo zamani ilikuwa ikijulikana kama Nuta Jazz, Juwata Jazz na Ottu Jazz kulingana na mabadiliko ya jina la chama cha wafanyakazi cha tanzania ambacho kiliimiliki bendi hiyo. Hivi sasa jina ni Msondo Ngoma Music Band na hivi sasa bendi imejitoa jumuiya ya wafanyakazi na inajitegemea. Mtindo ni ule ule "Msondo Ngoma".

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...