Kabla na hata baada ya Arusha kuwa jiji shaba ni nje nje hasa ikizingatiwa kwamba A-Town ni kitovu cha pesa kutokana na utalii na madini, hasa yale ya Tanzanite. pichani ni Inspekta Jenerali wa Polisi Omar Mahita akikagua baadhi ya silaha zilizokamatwa jijini Arusha karibuni mbako matukio ya ujambazi ni kama kawa!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Huyo askari na hilo tumbo lake apewe adhabu ya kukimbia na kusukuma dunia kila asubuhi na jioni. Anaweza kukimbiza mwizi?

    ReplyDelete
  2. hilo tumbo lake limejaa rushwa, ukichunguza siku aliyooanza kazi alikuwa mwembambaaaaa..... lakoni sasa mhh

    ReplyDelete
  3. Na nyie acheni ugomvi hamjuhi siku hizi kitambi ni sehemu ya sare za polisi? Mnataka akose kitambi afukuzwe kazi. Watoto wake watakula wapi? Fatma na Macha acheni ugomvi. Msitake mwenzenu afukuzwe kazi kwa kutovaa sare kamili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...