
Kabla na hata baada ya Arusha kuwa jiji shaba ni nje nje hasa ikizingatiwa kwamba A-Town ni kitovu cha pesa kutokana na utalii na madini, hasa yale ya Tanzanite. pichani ni Inspekta Jenerali wa Polisi Omar Mahita akikagua baadhi ya silaha zilizokamatwa jijini Arusha karibuni mbako matukio ya ujambazi ni kama kawa!
Huyo askari na hilo tumbo lake apewe adhabu ya kukimbia na kusukuma dunia kila asubuhi na jioni. Anaweza kukimbiza mwizi?
ReplyDeletehilo tumbo lake limejaa rushwa, ukichunguza siku aliyooanza kazi alikuwa mwembambaaaaa..... lakoni sasa mhh
ReplyDeleteNa nyie acheni ugomvi hamjuhi siku hizi kitambi ni sehemu ya sare za polisi? Mnataka akose kitambi afukuzwe kazi. Watoto wake watakula wapi? Fatma na Macha acheni ugomvi. Msitake mwenzenu afukuzwe kazi kwa kutovaa sare kamili.
ReplyDelete