Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi una helikopta siku hizi nini? Ngoja nifikirie nitakupa jibu kuwa hapo ni wapi. Hasa hayo mapipa makubwa ndio yananisaidia kupata jibu.
ReplyDeleteBwana wewe mambo yako ya kukwepakwepa yapunguze. Mara ya mwisho tumewasiliana ulikuwa Zenji kwenye zoezi la uchanguzi. Basi ikawa kila asubuhi nikidamka nakimbilia uwanjani kwako nikaone patashika la uchaguzi wa Zenji kwenye picha. Lakini ng'o, ndiyo kwanza ukatuletea picha za kupigiwa anagani za Mto Rufiji, Jiji la Arusha, mapokezi ya Yanga, na zinginezo.
ReplyDeleteHata hivyo bado nasubiri, kwa sababu nakujua michezo yako ya kurusha roho. Nadehani hiyo siku utakayotuletea Zenji katika picha itakuwa sinema ya X kwa wakubwa tu.
Masalaam,
F MtiMkubwa Tungaraza.
Kweli, hivi Michuzi picha za Zanzibar ziko wapi? Tunasikia huko mikong'oto, kutolewa ngeu, watu kufukiwa ardhini, askari wa JKU kuuawa, watu kukimbilia mwituni, n.k. Ziko wapi picha hizo?
ReplyDeletezaja yakhe...mbona una haraka weye?
ReplyDeletezaja yakhe...mbona una haraka weye?
ReplyDeleteBw. Michuzi,
ReplyDeleteHaya sio maeneo ya Pugu Road, Industrial area?
Kurasini karibu na bandarini
ReplyDelete