Home
Unlabelled
Bao la Kisigino?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tumenzoea, sijui safari hii ataenda kuita wawekezaji toka wapi?
ReplyDeleteMzee wa Kiraracha katoa meno kama nini sijui. Urais mtamu kumbe.
ReplyDeleteHuyu ni Chizi-maarifa: Anafanya masihara na maisha ya Watanzania.
ReplyDelete'95 nusura tungeula wa chuya kwa uvivu wa kuchambua! Nilihudhuria mkutano wake wa kampeni pale Jangwani siku alipomkaribisha Hayati Abdulrahman Babu kwenye sakata la uchaguzi wa safari ile. Hiyo ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kumsikiliza. Baada ya kumsikiliza nikamtupilia mbali wala sikutaka kumuona wala kumsikia tena, pumbavu mkubwa.
Aluta continua,
F MtiMkubwa Tungaraza.
Bwana michuzi hivi unajua kua huyo bwana ni jirani ya shemeji yangu kule marangu lakini sijui kwanini awe na fikea tepe kiasi hicho!!!!
ReplyDeleteNakuomba sana umtafute ufanye naye mahojiano na aweke wazi mahali atakopozikwa kwani aliapa kua kama jimbo la vunjo litashikiliwa na wapinzani hawezi kuzikwa huko!!!
Hivi kweli hizi ni kauli zitokazo kinywani mwa mtu anayeomba dhamana ya kuongoza nchi yetu????!!!!!!
KIRUU!!Huu ni mshangao wa kichaga