Mwenyekiti wa TLP Augustine Lyatonga Mrema akiwa na karatasi ya kupigia kura ambayo wapinzani wanalalamika kwamba imetengenezwa 'kiana' na CCM ili mgombea wake ashinde. Hapo alikuwa Mahakama Kuu Dar es salaam leo akijaribu kuzuia Tume ya Uchaguzi isitangaze matokeo ya Urais. Lakini alichelewa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Tumenzoea, sijui safari hii ataenda kuita wawekezaji toka wapi?

    ReplyDelete
  2. Mzee wa Kiraracha katoa meno kama nini sijui. Urais mtamu kumbe.

    ReplyDelete
  3. Huyu ni Chizi-maarifa: Anafanya masihara na maisha ya Watanzania.

    '95 nusura tungeula wa chuya kwa uvivu wa kuchambua! Nilihudhuria mkutano wake wa kampeni pale Jangwani siku alipomkaribisha Hayati Abdulrahman Babu kwenye sakata la uchaguzi wa safari ile. Hiyo ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kumsikiliza. Baada ya kumsikiliza nikamtupilia mbali wala sikutaka kumuona wala kumsikia tena, pumbavu mkubwa.

    Aluta continua,

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  4. Bwana michuzi hivi unajua kua huyo bwana ni jirani ya shemeji yangu kule marangu lakini sijui kwanini awe na fikea tepe kiasi hicho!!!!

    Nakuomba sana umtafute ufanye naye mahojiano na aweke wazi mahali atakopozikwa kwani aliapa kua kama jimbo la vunjo litashikiliwa na wapinzani hawezi kuzikwa huko!!!

    Hivi kweli hizi ni kauli zitokazo kinywani mwa mtu anayeomba dhamana ya kuongoza nchi yetu????!!!!!!

    KIRUU!!Huu ni mshangao wa kichaga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...