Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Pichani ni moja ya vyuma kadhaa zilizosheheni mashine za kurudufia kanda za video zilizobambwa katika mojawapo ya 'viwanda' haramu vya kurekodia vilivyojazana jijini na kuifanya tanzania iongoze kwa kuwa mtambo wa kuchapa kazi za watu bila idhini na kuitwa leading piracy country in Africa

    ReplyDelete
  2. Wanasiasa wetu wamekuwa wala rushwa wakubwa na hawajali kujenga njia za uchumi ili watu wapate kazi halali hivyo vijana waende wapi?
    Bongo siunaijua tena?

    ReplyDelete
  3. WTF?

    AISEE MICHUZI MBONA HAMNA UELLEZI WA HII PICHA? AU WORTH 1000 WORDS?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...