Rais Jakaya Kikwete akipokea heshima kama amiri jeshi mkuu kwa mara ya kwanza toka aapishwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mkubwa hakika tunapata kwa muhtasari yanayotokea dar kwa tupicha twako. Lete mambo, mimi nakuaminia babake.

    ReplyDelete
  2. Hata mimi nakuaminia. Ila ukikutana na huyu rais mpya mwambie asiibe sana...achukue kidogo!

    ReplyDelete
  3. Michuzi kaza buti nadhani hata ukipewa hako kamadaraka fulani usikimbie bloguni na kutupa kamera. Nakuombea maana mwaka huu webu wanamagazeti

    ReplyDelete
  4. nimeipenda suti yake nyeusi na tai

    ReplyDelete
  5. Mwanzo huwa ni heshima, Mwisho lazima iwe ni matusi?
    Picha nzuri sana. Nitaiweka kwenye kumbukumbu zangu.

    ReplyDelete
  6. magwaride ni miongoni mwa vitu vinavyowachengua sana watanzania kiasi kusahau umasikini na ukali wa jua unaowakumba! jinsi alivyokagua gwaride kwa unadhifu kunamhakikishia mkulu tiketi ya kurudi ikulu 2010.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2006

    MICHUZI,YULE JAMAA KULE JUU YA PAA ANA BIMA YA MAISHA?NADHANI WANJA JIPYA LITAFUNGWA KAMERA SPESHO KABISA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...