Jaji Lewis Makame akitangaza matokeo ya Urais leo pale Diamond Jubilee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. unajua mie sielewei. hivi kwenda kusikiliza matokeo kuna wengine walipewa kadi na wengine hawakupewa? nilisoma mgombea wa NCCr alilalamika angeendaje wakati hakualikwa? kama kulikuwa na upendeleo basi jaji makame awajibike - asilete za kuletwa, kuchafua reputation ya vyama vya watu.

    ReplyDelete
  2. Jaji Makame mbona ameishawajibishwa!! kutomualika Mrema amemwaga unga kuna jaji mpya ameapishwa!! Doooooooo!!!!

    ReplyDelete
  3. akhsante sana Sina Said! hilo mimi sikulijua! je ni nani alimuwajibisha? ilikuwaje kuwaje? nani alifungua malalamiko? na ni nani jaji mpya? ni nani alimusimika? - tafadhali naomba updates!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...