sehemu ya mapato na mali zilivyopatikana nyumbani kwa jamaa mmoja muuza bwimbwi kinondoni Dar. Jamaa aliingia mitini na hadi sasa hajaonekana. mkwewe ndiye yuko ndani na uchunguzi unaendelea. pesa ziko polisi kama kizibiti, bwimbwi liliko sijui.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ingependeza kama hizo fedha zingetumika kununulia madawati na kubooresha majengo ya shule.

    ReplyDelete
  2. Michuzi,

    Pongezi tena kwa kuleta habari na picha motomoto.

    Sasa mbona umesahau kusema huyo mwenye hili bwimbwi na hizo pesa amechukuliwa hatua gani?

    Hii biashara ya madawa ya kulevya pamoja na matumizi kama hatutachukua hatua madhubuti mapema tutafikia hatua tutashindwa kabisa kuikabili.

    Ahsante sana Bw. Michuzi.

    ReplyDelete
  3. bwana michuzi,

    mtu anapoamua kuwa gaidi ina maana haoni umuhimu wa maisha yake na hivyo ni hatua makusudi ya kufa au kubadili maisha. huyu aliyeshikwa ni mmoja kati ya watanzania wengi ambao wamekosa namna ya kusurvive. wakati yeyey ameamua kuchukua hatua hiyo kuna wengine wanaua na wengine wanapora! yote ni sawa hakuna lililomzidi mwenzake.

    kuna kazi kukwa sana mbele yetu ya kujikomboa sisi wenyewe na umma mzima wa watanzania. maana huwezi ukaishio kwa amani kama kisiwa ukiwa namali na umezungukwa na masikini.

    cheers

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...