"Tusisahauliane kwenye enzi yako mzee..." waziri wa zamani wa kazi, maendeleo ya vijana na michezo profesa juma athumani kapuya anaonekana kumwambia Rais Kikwete hivi majuzi. Nani atakuwa waziri mkuu na nani ataingia baraza la mawaziri ni kitendawili kulichoighubika bongo kwa sasa. jamaa natarajiwa kuchagua Waziri Mkuu siku moja ama mbili kabla ya mwaka mpya, na baraza la mawaziri inshaaaalah labda siku moja ama hata wiki baada ya hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi,

    Naona ulikuwa unachapa habari huku unasherehekea Krisimasi.

    Umesahau kutubandikia picha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...