Home
Unlabelled
mapato yatokanayo na bwimbwi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ingependeza kama hizo fedha zingetumika kununulia madawati na kubooresha majengo ya shule.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeletePongezi tena kwa kuleta habari na picha motomoto.
Sasa mbona umesahau kusema huyo mwenye hili bwimbwi na hizo pesa amechukuliwa hatua gani?
Hii biashara ya madawa ya kulevya pamoja na matumizi kama hatutachukua hatua madhubuti mapema tutafikia hatua tutashindwa kabisa kuikabili.
Ahsante sana Bw. Michuzi.
bwana michuzi,
ReplyDeletemtu anapoamua kuwa gaidi ina maana haoni umuhimu wa maisha yake na hivyo ni hatua makusudi ya kufa au kubadili maisha. huyu aliyeshikwa ni mmoja kati ya watanzania wengi ambao wamekosa namna ya kusurvive. wakati yeyey ameamua kuchukua hatua hiyo kuna wengine wanaua na wengine wanapora! yote ni sawa hakuna lililomzidi mwenzake.
kuna kazi kukwa sana mbele yetu ya kujikomboa sisi wenyewe na umma mzima wa watanzania. maana huwezi ukaishio kwa amani kama kisiwa ukiwa namali na umezungukwa na masikini.
cheers