Hapa ni pembezoni mwa mji kasoro bahari eneo la msamvu. Milima ya uluguru yakonyeza kwa mbaaaaali...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwakweli Bongo ni tajiri jamani!! hebu angalieni mazagazaga ya kumwaga.Natumaini hapo michuzi hukuondoka bila kapu la vitynguu!!!

    ReplyDelete
  2. Umenikumbusha mbali Michuzi.Enzi zile za upinzani mkali wa kimichezo kati ya Forest Hill na Kigurunyembe sekondari.Ila haka kamji ketu hakaendelei jamani.Kwanini??

    ReplyDelete
  3. umegusa kidonda kaka msangi. mimi nimekaa morogoro miaka karibu 8. tatizo la waluguru - stori nyingi na ujanja ujanja mwingi. kwa kweli nilijaribu kufanya biashara nyingi hapo mahala lakini hata kama mtu mzima HABEBEKI!!! watu hawajali kazi! ni bora hiyo kazi umfukuze arudi kijiweni kupiga story. fikiria mtu ana watoto wanne, unadhani kuwa anajali kuwasomesha na kulea wachilia mbali kupangha nyumba. unamwamini kwa kigezo cha utu uzima lakini wapiii!!! anakwenda kinyume,uongo mwingi, na kesho unamkuta anamkia kijiweni kibangaiza. baada ya miezi miwili anarudi tena kuomba msaaada. hili ndio tatizo la morogoro na nadhani kwa kiasi kikubwa linachangiwa na kwamba mji uko user friend - nikiwa na maana kuna vyakula vingi vya bure bure!!! kwa kweli mie waluguru mh mh!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...