vidole vya nani hivi?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hivi siku hizi bongo ukiingia ofisini bado unasaini daftari? halafu ukiingia ofisini unalala! jamani! nadhani namuunga mkono ruguyamheto kuwa watu wapimwe kwa uzalishaji sio kufanya maigizo!

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    Vidole nimeshindwa ku-guess. Ila peni hiyo definately ni ile aina ya speedo.

    Mark,

    Daftari zinabidi zupigwe marufuku. Wafanyakazi wapewe kadi za ku-swipe mlangoni. Halafu data inaingia moja kwa moja kwenye kompyuta ya mshahara. Usipoingia job, hulipwi.

    ReplyDelete
  3. Michuzi,
    Sijui ni vidole vya nani, lakini huyo mwenye vidole hivyo ameandika jina la Kikwete!
    Ahsante.

    ReplyDelete
  4. haloo ni yeye kikwete, mie jana kidooooooogooo ilibakie niseme! usisubiri jibu ni yeye!!!

    semkae, kuswipe ni sawa, lakini kama utaingia ofisini na kulala inakuwaje? kwa sasa hivi kule nyumbani ile wizara ya management na utumishi wa uma wanafanya kitu inaitwa reforms, ambapo sasa hata ajira za serekali ni kwa mikataba! kupimwa kila baada ya kipindi.

    anony, sasa si na wewe ufungue blogu? huoni mwenzio mwaipopo kayaoga teyari?

    ReplyDelete
  5. Duu! Watu mna macho! kusoma vimaandishi vile?

    ReplyDelete
  6. Hapo alikuwa hajaanza kutumia kalamu nyekundu!!!!

    Manojua mambo ya itifaki mnajua kwamba Rais anatumia kalamu nyekundu, mawaziri kijani, sijui makamu wa rais na wanajeshi wanatumia za rangi gani vile?

    ReplyDelete
  7. MWALIMU JK?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...