Hapa ni marangu kyara, ndesanjo twambie jamaa wanagida nini?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. na huyo mzee aliyeweka 4 ndio mmiliki wa kituo cha biashara ulimwenguni.

    ReplyDelete
  2. Sasa Michuzi mambo ya kutiana kiu acha. Kama ni hivyo nipostie kabisa basi nami "nirie" kidogo mmeku oko. Sha!

    Hapo wanatia divai yetu ya asili. Mpaka leo sijui kwanini Wakristo wa kule Marangu na sehemu nyingine kama Machame (Nkya upo?) wanatumia mvinyo wa zabibu kwa ajili ya sakramenti badala ya kuria "mbeke."

    ReplyDelete
  3. Apa lanye!
    Hivi mchuzi hii tabia ya kuingizana majaribuni utaiacha lini(Jokes).
    Yaani nilivyoona wazee wetu wakidumisha mila mate yalichuruzika kama maji nikitamani nipate japo suna.

    ReplyDelete
  4. Aisee kaka michuzi,yaani umenikumbusha Maisha ya pale Kijijini Mkiashi,kilema!!Mbeke tamu jamani.
    hauxtable.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...