
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere anakumbukwa kwa mengi, ikiwa ni pamoja na kufanya watu waishi kwa kutumia jina, taswira na sauti yake miaka kadhaa baada ya kufariki dunia. Huyu jamaa na 'bodigadi' wake ni mmojawapo anayeishi kwa jina la mwalimu, akimuigiza kila kitu na kujipatia chochote kitu kwenye tafrija mbalimbali.
SASA HUYO JAMAA KWEKA VITU GANI KWENYE MIDOMO YAKE HIYO. MWALIMU HAKUWA NA MUSITACHI WA HIVO BANA. KWANINI ASITENGENEZE NA HIZO NYWELE VIZURI ILI AMFANANIE KABISA?
ReplyDelete