Luteni Jakaya mrisho Kikwete ambaye sasa ndiye Amiri Jeshi Mkuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hii inapendeza sana! kumbe wala hajabadilika sana. mungu ampe maisha mema atumikie watanzania kwa uwezo wake wote. tunaamini anaweza na ahadi zake ni za moyoni. teyari tifu la ATCL limeanza visit www.darhotwire.com utaona wamepewa wiki kuchunguza ndoa na SAA. namna hii lazima salma alishinda vita kali sana kuibuka na handsome boy! muulize atakuambia.

    ReplyDelete
  2. Child of privilege, hapa anafanana sana na rafiki yangu Raymond Karubi back in the days

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...