Hapa nipo uwanja wa ndege wa hamburg na marubani washkaji wenzangu toka sehemu mbalimbali duniani tulipofurahi kukuta ndege ya 'africa' pale. ni ya south african airways, kampuni iliyonunua ATC na sasa leo Kikwete amemuomba waziri wa miundombinu (nakwambia, wizara za siku hizi balaa!) basil mramba aongoze tume ya kuangalia namna ndoa ya SAA na ATC inavyoweza vunjika bila ngumi...
Home
Unlabelled
Hamburg
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kikwete inamaana hana data au? maana kila kitu tume na delegations!
ReplyDelete