wachekeshaji wakiranda ufukweni mwa bahari ya hindi kuvunja watu mbavu na kujipatia chochote. maswaaaali???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Aisee safi sana! Lakini hizo costumes zina joto sana hasa hiyo ya Mickey Mouse. Ni maplastiki, no breathing space for the skin. Hivyo ni lazima wanatoka jasho mno na joto la DSM.

    ReplyDelete
  2. Bora hawa walioamua kwenda ufukweni kwani wanajua kama wakitaka kufanya umachinga lazima maswahibu ya mgambo wa jiji yawakute.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...