huyu ndiye mwanadada keisha anayetamba kwenye anga za muziki wa bongoflava kwa sasa. vibao vyake 'usinicheke' na 'zawadi' si vya kawaida. hilo benzi lake, unaambiwa. fikrathabit upo? nawe bwashee alama je? nawaambai rudini bongo poa hamtaki, mwaona vitu hivyooo!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kwakweli dada Aisha kajaliwa!najua michuzi ulupendezwa kuchukua picha hii kwa ajili ya HIPSI zake!

    ReplyDelete
  2. hiyo benz ni ya mwaka gani jamani???nadhani manufacturer wake akiambiwa kuwa inatembea hawezi kuamini!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...