mkurugenzi wa bongo records p. funk a.k.a majani akihojiwa wakati wa tuzo ya kilimanjaro alipoibuka kuwa prodyusa bora nchini. anaedoea picha ni ferooz ambaye alipata tuzo ya wimbo bora na kushoto kakaa enika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hao jamaa ni wakali. na huyo bwana anaitwa Ferooz ni kiboko si mashairi si kuimba!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...