Home
Unlabelled
Mapinduzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi ahsante sana kwa picha hii.Jambo moja tu limenifanya nirudi nyuma kidogo na kujiuliza,hivi kuna ubaya wowote wa hawa viongozi wetu kuanza kujivika mavazi ya "kikwetu" kama alivyofanya Mama Kikwete hapo pembeni?Mavazi yanaweza kuwa jambo dogo sana kwa wengi wetu lakini marafiki na mavazi huashiria sana wewe ni mtu wa aina gani na una mtazamo upi.
ReplyDeleteHapo siwaoni viongozi wakuu wa upinzani hasa CUF!!!!Unaweza kutumegea sababu kidogo za kutokuwepo kwao????
ReplyDeleteBwana Fikra! mbona hizo ziko wazi? hujasikia huko unguja watu wanajiongezea ulinzi kwa kuwaogopa binadamu wenzao? sasa kama wakubwa wanajiongezea ulinzi wanachama wananchi walalahoi kina wenzangu na mie watafanyaje? haya mambo yakiachiwa yakue inaweza kabisa kuwa itafikia wengine tujivue uanachama wa vyama vyetu ili tusitengwe na jamii zetu!! kuna kazi ya kufanya hata JK analijua hilo! si umemcheki hata dogo hapo mitaa ya kati hajiamini kabisa? good work michuzi!
ReplyDeletecheers!