Huyu ndiye natalie noel miss photogenic (naomba kiswahili chake, ndesanjo nisaidie) tanzania 2005 baada ya kumvisha taji lake...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Michuzi ndani ya pozzzzy.

    ReplyDelete
  2. Kweli huyo ni photogenic (kiswahili: mvutiapicha??).

    Tupe namba yake ya simu basi. Si unajua tena....

    ReplyDelete
  3. michuzi taratibu mkono huo! utamtoboa mtoto wa watu bureeee!

    ReplyDelete
  4. Semkae unataka namba yake ya simu ni 0745 343536 anakaa Mabibo Hosteli Block A # 324

    uKIENDA YAKIKUTA HUKO SIMO MAANA NINYI VIJANA KWA UKWARE SIJUI MTAACHA LINI.

    ReplyDelete
  5. Mwaipopo yaani hilo swali tena kuhusiana nami na Mabibo, nimeizindua mimi, nimekaa hapo miaka minne sasa kipi tena. Hilo lingine la Wakubwa sisemi kama utaniruhusu nitapiga baragumu hapa kwa Michuzi kuwataja wote maana wengi niliwaona kwa macho yangu.

    ReplyDelete
  6. haya sasa mmeturudisha kwa ubinadamu. kwani semkae huko hakuna wadada?lakini jamani kama alivyoimba ali choki na manyema mademu wa kibongo sio siri wanapendeza!! na wanavutia! nyumbani ni nyumbani michuzi ndo anahangaika nao kimatanuzi kwa sasa! ila sema nae vyema usijekuta naye ni mlundenga. boni waache wazee wajinafasi kwa raha zao, mbona hakatazwi mtu? na uzuri kule unachepuka tu huhitaji kufunga safari kama mlimani ya kilimani! wewe pambana na watoronto sasa hivi!

    ReplyDelete
  7. Michuzi,

    Hukosekani kwenye mashindano ya urembo! Ungetuwekea picha za wengine, kusudi tu-compare.

    Endelea na kazi nzuri!

    ReplyDelete
  8. Michuzi nawe kwa vibweka hatukuwezi!!!kidole cha nini kiunoni??????
    Picha kama za mazingira mabaya ya watoto yatima wanayoishi ingekua bora kuliko hizi tulizozoea kuona kwenye magazeti ya udaku.

    ReplyDelete
  9. Da Chemi unanianza ivyo... ohoooo.... mi nilipotia ndoana we ukachomoa umesahau? (hahaha, kwenye ile senema tulocheza, sio live. Anyway, mambo aje mshikaji?

    ReplyDelete
  10. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  11. Hello Michuzi,

    Naumbuka sana tulivyo acti pale Magomeni! Tena ile sinema ilipata Award ya M-net. Sijawahi kuiona, wewe umeiona? Kuna siku hapa Boston kuna mtu kaniambia ile sinema ule tengeneza na Michuzi miaka ile ilitoka vizuri sana! Nilibakia kushangaa.

    Mambo safi kabisa naona tutaonana in the next few months. Endelea na kazi nzuri mno! Wasalimie huko Bongo!

    My e-mail is chemiche3@yahoo.com

    ReplyDelete
  12. Meaning of photogenic.

    1: adj: Attractive as a subject for photography.

    2: adj: Biology: Producing or emitting light; phosphorescent: photogenic bacteria.

    3: adj: Caused or produced by light: photogenic seizures.

    4: adj: Producing or emitting light; phosphorescent.

    5: adj: Caused or produced by light, as a seizure.

    6: adjective: produced or precipitated by light

    7: adjective: producing or generating light

    8: adj: looking attractive in photographs

    2006 © Christopher Makwaia, Jr.

    ReplyDelete
  13. Mbwana Makene mbona tunataniana? Simu hiyo haiexist.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...