Home
Unlabelled
mr nice hoi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi beef yao ni nini
ReplyDeleteJamani, sasa hiyo ni kama EAST COAST, WEST COAST wars za hapa USA nini?
ReplyDeletePole sana Mr. Nice.
Maskini mr nice, na yeye aangaliage na watu wa kuvurungana nao.
ReplyDeleteMnashangaa nini wakati mtu mwenye jina lake Dudubaya hata kwetu uzaramoni ukimpa mtoto jina baya utajuta mwenye
ReplyDeleteUjinga wake utamtoa nishai kila siku...
ReplyDeletehey, huyu fara alikua anafanya nini mpaka apigwe na nduguye!Inaonekana jamma huyu ni mkolofi kwani na nyimbo anazoimba kama ile ya KUKU KAPANDA BAISIKELI haina maana na ikiwa ina maana aliku anawatukana watu.Tunataka nyimbo za mafundisho kama za Mr Ebbo, MIMI MMASAI"!Kamwongeze tena bwana Dudubaya akiendelea!
ReplyDelete