Mama wa kifaransa akikatisha toka sokoni akiwa na kitoweo. hapo ni nje kidogo ya toulouse... kumbe hata nyie huko ughaibuni mwaka majani kama mbuzi, nilidhani manyama na makuku tu. hahaha... rudini mle vyakula vya majani fresh kama vile mchicha, msusa, mbaazi na kadhalika. msitegemee sana vya kuzindika (junk food) tofauti na sie wenzenu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi mama kanunua maua ushaona kitoweo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...