ndugu yangu gado anayechorea katuni zake nairobi kwenye gazeti la nation amenitumia ujumbe huu ambao napenda wote muuone na kujua wepesi wa kazi zetu za uandishi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. its terrible!!!and reality!! ndio maana uandishi ni kitu kinahitaji umakini na ni mapambano siku zote!! kinachohitajika ni kujenga mfumo sahihi wa kidemokrasia unaokubali binadamu hukosea na kukosolewa ni mujibu!

    ReplyDelete
  2. Hii hali ni dhahiri waandishi wako katika mazingira magumu dumu dawamu toka enzi maandishi yalipoleta uwakilishi wa matamshi ya lugha mbalimbali za binadamu.

    Haya hebu sasa msikilize Mbunge mmoja wa CCM kutoka jimbo la Busanda Bw. Kabuzi Rwilomba alivyotoa maneno ya kuwadhalilisha waandishini haki yake kusema kwa kuwa mdomo ni mali yake na ameumbwa kusema pale anapohitaji kusema.

    Amesahau kabisa kama yeye ni mmoja wa wabunge ambao kabla ya kuchaguliwa walipenda sana kuandikwa na kuwabembeleza waandishi wa habari kutoa taarifa zao magazetini si mbaya kwani tumekuwa ni sawa na kisu chenye maslahi wakati wa kukata tu ilhali kama hakuna cha kukatwa kinabaki na kutu daima dumu,tusubiri wakati wa uchaguzi wa 2010 ndipo tutaanza kuonekana umuhimu wetu kwa wabunge wa aina ya Rwilomba

    Mbunge huyu ameripotiwa katika vyombo vya habari akiwataja waandishi wa habari ni ombaomba.

    Wakatabahu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...