Kibanda hiki nimekifuma sehemu za Uzini, Unguja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nashukuru michuzi kwa hii picha.Nafikiri sasa ule wito wangu juu ya picha umeanza kuufanyia kazi.Hicho ni kielelezo cha maisha halisi ya watanzania wengi waishio vijijin.

    Nilikua nafanya utafiti huko huko wilaya ya kusini unguja katiaka shehia ya UZURI na hali ni kama hiyo uliyoanika kwa wanablog.

    Napenda hii iwe changamoto kwa wale Tanzanians diaspora.

    ReplyDelete
  2. bado tuna mwendo mrefu kufika!!!!

    ReplyDelete
  3. Halafu cha kushangaa ni mwendo tunaoenda nao kama kinyonga.

    ReplyDelete
  4. Michuzi, nadhani unapotumia picha kuhamasisha Watanzania kujenga nchi yao, picha kama hii inatoa msukumo zaidi. Picha za majengo marefu na magari ya milango nane na mambo kama hayo zinatoa taswira ambayo sio sahihi ya nchi yetu. Nitafurahi sana ukiwa unatupa maisha ya vijijini ambako kuna wenzetu waliosahauliwa na watunga sera, viongozi, waandishi wa habari, "wasomi", n.k. Je waliosahaulika, au nitumie msemo wa Frantz Fanon wa "waliolaaniwa" wana maisha gani? Tafadhali picha za vijijini...kama huendagi kijijini kusalimi wazee utuambie! (nakupiga dongo tu mshikaji).

    Michuzi, je hiyo ikulu hapo ni ya nani?

    ReplyDelete
  5. USITUYAYUSHE MICHUZI UMEKWENDA SEHEMU HII ILI UKAPUNGWE NA KUPIGA KUJINOA NOA ILI BABA KIKWETE ASIKUTOE MZIGONI YANI FRESH SANA MAANA HICHI KIBANDA MIMI NAKIFAHAMU FIKA MICHUZI WADANGANYE WENGINEWE LAKIN MIMI HAPANA AISE SI MBAYA MAANA SIKU HIZI HATA NA SISI MABROTHER MAN HUWA TUNAFIKA KUJINOA NOA KWA WAGANGA HAWA MAPROFESSA WETU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...