Home
Unlabelled
bunge laahirishwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Vipi wamediscuss ubadhilifu, ufisadi, rushwa na uozo ulioripotiwa kuwapo katika wizara ya mambo ya nje (balozi) za Bongo out?
ReplyDeleteaah huyu mwanamume naona anapambana na miundo ya tawala za mikoa na wilaya kwanza... katoa hotuba nzuri sana kuwa muda wa kubebena umekwisha..na amesisitiza kuwa vyombo vya habari vina nafasi kubwa sana kujenga, visikimbiwe!
ReplyDeletehttp://www.uchaguzitanzania.com/new/articles/4224/1/Viongozi-mzigo-watoswe---Lowassa
Kwa kweli ile nchi ina mambo mengi sana ya kufanya ndio maana nawaonea huruma hao jamaa. Mikoani, wizarani, wilayani kote matatizo. Ujambazi, Rushwa na kila kitu. Unajua kosa moja kubwa likishafanyika linagharimu nchi makumi ya miaka kulirekebisha.
ReplyDelete