Home
Unlabelled
lipumba na tibasana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tibasana, tibaigana, ti...
ReplyDeleteNakibadili kidoogo, Tingaraza naweza kupata u-afande
Kwa hiyo mwandani na mimi nijiite Timakene ili niukwae UIGP ambao sasa uko vacant?
ReplyDeleteTimwaipopo je? Siwezi walau kupata U-Zombe wa Mbeya hivi.
ReplyDeleteinapendeza sana haya na miye Ti-alama! any way, inafurahisha jinsi huyo polisi alivyojichanganya na mheshimiwa! polisi hutakiwa kuwaheshimu viongozi hao kama "mabosi watarajiwa" bila kuwabagua, na kuwapoa haki sawa - si vinginevyo!hata kama upepo utapelekea kupata kura moja! - hii pia hujenga imani kwa mabosi watarajiwa kutokuwa na chuki na yeyote hivyo kuepusha misuguano na zahama zisizo na manufaa kwa inji yetu! Mahita hajateremka chini tu?
ReplyDeletePosition si ndio Madaraka na Rank si ndiyo cheo au sivyo wajameni? Kama ni hivyo cheo chake si cha tatu bali ni cha pili maana huyu ni Kamishina wa polisi akiwa ametoshana ubavu na Mwansasu, Adadi na nani sijui wako kama watano tu hivi!!
ReplyDelete