Home
Unlabelled
mtandao musoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hiyo ndip the dotcom generation perse! sio sisi tulianzia ukubwani! hawa ndio watatukomboa na huu utandawizi!
ReplyDeleteKweli kabisa Mark.Nyanja ya habari na mawasiliano ni muhimu sana katika kukabiliana na masuala mbalimbali yaliyotuzunguka hivi leo.Tuhakikishe kwamba hata kama sisi tulichelewa kidogo basi kizazi hiki hakichelewi.
ReplyDeleteNafurahi sana kuwaona wabunge wajao wakiblogu hapo Musoma. Nadhani kuna haja ya kuongeza kompyuta maana haziwatoshi hawa askari wangu. Ngoja tuombe uzima kuna umuhimu wa kuwa na huduma hizi za bure kwa hawa askari wa nchi yetu ili waujue ulimwengu na kujiandaa kupambana na balaa zitakazowafuata. Safi sana Michuzi kwa picha hii inayotoa hali halisi ya jimbo hilo la uchaguzi.
ReplyDelete